Makoroboi ni eneo linalopatikana katikati ya Jiji la Mwanza, likipakana na mlima ilipojengwa nyumba ya Gavana wa mwisho wa ...
Hatima ya dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai inatarajia kujulikana ...
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Songambele, Teddy Majuto, aliyejikuta akisitisha masomo na kwenda kufanya ...
Zilikuwa ni saa 72 za moto, ndivyo unavyoweza kuelezea hukumu sita za mauaji zilizotolewa na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu ...
Wadau wa mazingira nchini Tanzania wameishauri Serikali, kuanzisha wakala utakaowezesha wakazi wa vijijini kupata nishati ...
Wakati Serikali ikitoa hatimiliki za ardhi zaidi ya 250 kwa wananchi katika mji wa Tarakea, Wilaya ya Rombo mkoani ...
Mfanyabiashara wa fedha za miamala, Edgar Edson Mwakabela maarufu kama Sativa, ametoa notisi ya siku 90 ya kuwashtaki Mkuu wa ...
Wadau wa demokrasia nchini wamezitaka pande mbili zinazokinzana, yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Jeshi ...
Mwili wa mtoto Rashmi Abdallah (5), mkazi wa Kijiji cha Katurukila, wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, uliokutwa kwenye ...
Matukio ya ukatili wa watoto hususan ubakaji yamezidi kushamiri mkoani Geita ambapo takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi ...
Je, unafahamu kwamba kuna ugonjwa wa wasiwasi? Ndiyo, ni moja ya magonjwa ya afya ya akili na unashika nafasi ya pili kwa ...
Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Tanzania (TMDA) zimetoa tahadhari ya matumizi ya dawa za kufubaza makali ya virusi ...